WHDL - 00014986
Kuhusu Lugha ya Tovuti
WHDL inaweza kusomwa katika lugha nyingi. Tumia menyu ya kushuka chini ili kuchagua lugha ya kusoma tovuti.
Nimebadilisha lugha yangu, lakini bado ninaona maandishi katika lugha zingine?
Ikiwa maandishi hayajatafsiriwa katika lugha uliyochagua, yataonekana katika lugha iliyoongezwa awali. Daima tunatafuta usaidizi wa kutafsiri nyenzo hizi. Ikiwa unaweza kusaidia, wasiliana nasi!
WHDL - 00014986
Kila masomo ya Biblia yafuatayo yanayo maswali kuhusu misingi ya kuimarisha uhusiano na Kristo. Soma swali, kisha utafute jibu la swali hilo katika Biblia yako. Wakati inasema Yohana 1:12, inamaanisha Kitabu cha Yohana 1, mstari wa 12. Yaliyomo katika mwanzo wa Biblia yako yataorodhesha nambari ya ukurasa wa kila kitabu. Tafuta jibu kutoka kwa Biblia kisha uliandike kwa maneno yako mwenyewe.
Biblia imetafsiriwa katika tafsiri kadhaa, na maneno ya kila tafsiri ya Biblia ni tofauti kiasi. Unastahili kukariri mstari katika tafsiri ambayo inakuvutia, kama tafsiri ulio nayo ni tofauti.
Unapaswa kukata au kuandika mstari wa kukariri ili ukusaidie kuukariri. Utaubeba pamoja nawe kila uendapo, au uubandike kwenye kioo. Unaweza kuutumia kama alamisho. Lengo ni kuwa nao karibu na mstari wa kukariri kila wakati unautazama, unaweza kuusema mstari.
(Kiswahili: Basic Bible Studies for the Spirit-Filled and Sanctified Life)
You have permission to view this content and print a copy for personal use only. Permission to print multiple quantities of this resource is expressly forbidden.Contact the publisher for any translation or publishing use, which includes digital use in any and all media.
55 Resources
A list of the translations of Shaver's BASIC BIBLE STUDIES FOR NEW AND GROWING CHRISTIANS.